Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kufanya maboresho zaidi ya mazingira ya biashara na uwekezaji ili kuifanya Tanzania iendelee kuwa sehemu salama zaidi ya uwekezaji.
APRILI 04, 2025
| Jean Paul
Kando na haya, endelea kuskiliza matangazo zaidi kutoka MTV
Radio