Rwanda and DRC
Wakimbizi wa Rwanda Zaidi ya mia mbili samani kutoka vijiji mbali mbali Kivu Kaskazini warudi nyumbani kwao wakishinikizwa na shirika la umoja wa Matifa UNHCR.
Wengi wao wakiwa wanawake na Watoto wakimbizi wa Rwanda Zaidi walio kimbilia misitu ya DRCongo tangu mwaka tisini na nne wameamua kwa hiari kurudi nyumbani kwao wakishinikizwa na shirika la Umoja wa Mataifa UNHCR ,wengi wao wakitoka katika wilayani ya Masisi,Walikale,Rutshuru ,ambako walipata hifadhi baada ya kupotia hali ngumu ya kimaisha kwa muda mrefu wakihama hama.